Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

KALYNDA TAARIFA ILIYO JITOKEZA ZIDI YA KAMPUNI YA KALYNDA KUTO FUNGUKA APP YAO IMEFANYA

TAARUKI ILIYO JITOKEZA ZIDI YA KAMPUNI YA KALYNDA KUTO FUNGUKA APP YAO IMEFANYA WATU WALIYO JIUNGA KUWA NA PRESHA KWAKUWA MAMIA YA WATU WENGI WALIJIWEKEZA KATIKA APP IYO IITWAYO {Alunda au Kalynda} MAELEZO YA MAWASILIANO /Soma Zaidi Kuhusu/ Kuhusu Biashara ya Kielektroniki (Biashara ya Kielektroniki) Hatua ya kununua au kuuza bidhaa kielektroniki kwa kutumia huduma za mtandaoni kupitia Mtandao inajulikana kama e-commerce (au biashara ya kielektroniki). Biashara ya simu, uhamishaji wa fedha za kielektroniki, usimamizi wa msururu wa ugavi, uuzaji wa mtandao, usindikaji wa miamala mtandaoni, ubadilishanaji wa data wa kielektroniki (EDI), mifumo ya usimamizi wa orodha na mifumo ya kiotomatiki ya kukusanya data ni baadhi tu ya teknolojia zinazotumika katika biashara ya mtandaoni. Sekta kubwa zaidi ya tasnia ya umeme, biashara ya elektroniki inachochewa na maendeleo ya kiteknolojia ya sekta ya semiconductor. Fahamu kuhusu kalynda | Kalynda ni nini? Kalynda E-Commerce Co., Ltd. ni m

Urusi yaimarisha ulinzi Crimea baada ya daraja muhimu linalounganisha nchi hiyo na Ukraine kulipuliwa

Urusi imeimarisha usalama kwenye daraja lake pekee la kuelekea eneo la Crimea baada ya mlipuko mkubwa wa jumamosi kuharibu sehemu kadhaa za daraja hilo. Rais Vladimir Putin ameamuru Idara ya Usalama ya nchi hiyo (FSB) kusimamia daraja hilo muhimu kuelekea eneo la Crimea linalokaliwa kwa mabavu na Urusi. Daraja hilo lilikuwa sehemu ya Ukraine, pia ni ishara muhimu ya unyakuzi wa Crimea kutoka Ukraine uliofanywa na Urusi mwaka 2014. Taarifa zinasema mlipuko huo uliua watu watatu, wachunguzi wa Urusi walisema. Maafisa walisema kazi ya kurekebisha sehemu zilizoharibiwa itaanza mara moja. Naibu waziri mkuu wa Urusi aliamuru sehemu zilizoharibiwa za daraja hilo ziondolewe, na kuongeza wapiga mbizi wataanza kuchunguza uharibifu uliotokea chini ya mkondo wa maji kuanzia Jumapili asubuhi, mashirika ya habari ya Urusi yanaripoti. Inaelezwa na vyombo vya habari vya Urusi kwambadaraja hilo ni "ujenzi wa karne", na limekuwa muhimu kwa Urusi kwa usafirishaji wa zana za kijeshi, ris

17 wameuawa katika mashambulizi ya makombora ya Urusi katika mji wa Ukraine

17 wameuawa katika mashambulizi ya makombora ya Urusi katika mji wa Ukraine kusini-mashariki wa Zaporizhzhia, wizara ya ulinzi ya Ukraine imesema. Makumi wengine walijeruhiwa, na majengo kadhaa ya makazi yameharibiwa. Mji huo uko chini ya udhibiti wa Ukraine, lakini ni sehemu ya eneo ambalo Urusi ilidai kulitwaa mwezi uliopita. Zaporizhzhia imekuwa ikishambuliwa mara kwa mara katika wiki za hivi karibuni, huku Urusi ikishambulia miji kadhaa baada ya kushindwa kudhibiti eneo la kusini na kaskazini-mashariki mwa Ukraine. Sehemu za eneo la Zaporizhzhia, kua kinu kikubwa cha nguvu za nyuklia - ambacho kiko karibu maili 30 (kilomita 52) kutoka mjini - na limekuwa chini ya udhibiti wa Urusi tangu mapema katika uvamizi huo. Gavana wa eneo la hilo, Oleksandr Starukh, alisema makombora 12 ya Urusi yaliharibu sehemu kubwa ya jengo la gorofa tisa, na kusambaratisha majengo mengine matano ya makazi.

Waziri Makamba anateswa zaidi na siasa za nchi kuliko Tanesco

Waziri Makamba anateswa zaidi na siasa za nchi kuliko Tanesco SATURDAY FEBRUARY 26 2022           Waziri wa Nishati, January Makamba akizungumza bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya shughuli ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini toka Januari 2021 hadi Februari 2022. Picha na Edwin Mjwahuzi Summary Kati ya mwaka 1992 mpaka 2019, siasa za upinzani Zanzibar zilijengwa kuzunguka chama kimoja, Civic United Front (CUF). Kutoka mwaka 2019 hadi sasa, kinara wa upinzani visiwani ni Alliance for Change and Transparency-Wazalendo (ACT-Wazalendo). ADVERTISEMENT Post-truth politics ni msamiati wa kisiasa wenye maana ya siasa zinazoongozwa kwa utamaduni wa kusema uongo mwingi na ukweli kidogo. Zama ambazo uongo hutawala zaidi kisiasa huitwa “post-truth era”. Ni muundo wa siasa ambao uongo hutumika zaidi kuuhadaa umma. Utamaduni wa kuogopa ndio umekuwa ukitawala siasa za Afrika na maeneo mengi duniani. Ukweli ni mdogo kwenye majukwaa ya siasa. Februari 15, mwaka huu, Waziri wa Nish
Askofu Ruwa'ichi awataka wakatoliki kuiombea Ukraine WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mhashimu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, amewataka wakristo wakatoliki nchini wanapoingia katika kipindi cha kwaresma kuungana kwa pamoja kuiomba nchi ya Ukraine ambayo kwa sasa ipo katika misukosuko ya vita na Russia. Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mhashimu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, amewataka wakristo wakatoliki nchini wanapoingia katika kipindi cha kwaresma kuungana kwa pamoja kuiomba nchi ya Ukraine ambayo kwa sasa ipo katika misukosuko ya vita na Russia. Askofu Ruwa'ichi ameyasema hayo leo Machi 2, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa mahubiri  yake aliyoitoa kwenye adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatano ya majivu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Posta. Ruwa'ichi amesema wanapaswa kuungana na Ukraine kama ambavyo wamekuwa wakiomba msaada kwa mataifa mbalimbali ili kukomesha vita hiyo. &quo

Majeshi ya Russia yamuua mwanachuo wa India akiwa dukani

Majeshi ya Russia yamuua mwanachuo wa India akiwa dukani WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Raia wa India, Naveen Shekharappa Gyanagoudar, aliyeuawa wakati jiji la Kharkiv likishambuliwa jana (Jumanne), alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Afya cha Kharkiv, Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Harsh Shringla amesema jana katika kikao na waandishi. ADVERTISEMENT Raia wa India, Naveen Shekharappa Gyanagoudar, aliyeuawa wakati jiji la Kharkiv likishambuliwa jana (Jumanne), alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Afya cha Kharkiv, Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Harsh Shringla amesema jana katika kikao na waandishi. “Alikuwa ametoka nje kununua mahitaji na kubadili fedha wakati alipouawa,” binamu yake Kantesh Gyanagoudar amesema akizungumza na CNN leo (Jumatano). Amesema Naveen alikuwa amepanga kuondoka kwenda Poland mapema zaidi ya siku hiyo. Shringla amesema Naveen alikuwa akisubiri kununua mahitaji katika duka wakati alipopigwa na bomu. Naveen alikuwa

Dk Mwigulu aelezea ugumu ziara za Rais Samia Ulaya

Dk Mwigulu aelezea ugumu ziara za Rais Samia Ulaya WEDNESDAY MARCH 02 2022           Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba Summary Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameelezea ugumu wa ratiba ya ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya katika nchi za Ufaransa, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) akisema hakukuwa na ratiba ya chakula cha mchana ‘lunch’. Dar es Salaam. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameelezea ugumu wa ratiba ya ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya katika nchi za Ufaransa, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) akisema hakukuwa na ratiba ya chakula cha mchana ‘lunch’. Dk Mwigulu ametoa kauli hiyo leo Jumatano Machi 2, 2022 wakati akizungumzia mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyoifanya katika nchi hizo siku chache zilizopita. “Mimi nilivyoambatana na Rais nimeona kwamba anavyokuwa kwenye ziara hizo anakuwa na ratiba ngumu na anazitekeleza kwa ajili ya manufaa ya Watanzania, “Ni ziara ngumu, nimeambatana naye

Sababu picha ya Rais, bendera kupandishwa Dubai hii hapa

Sababu picha ya Rais, bendera kupandishwa Dubai hii hapa WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa bendera ya Tanzania kupandishwa kwenye jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa jijini Dubai ni zawadi kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Taifa. Dar es Salaam. Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa bendera ya Tanzania kupandishwa kwenye jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa jijini Dubai ni zawadi kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Taifa. Juzi, ilisambaa video kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha bendera ya Tanzania ikiwa imefunika jengo hilo refu duniani lililopo Dubai. Leo Jumatano Machi 2, 2022 Dk Kijaji wakati akizungumzia mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyoifanya katika nchi za Ufaransa, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amezungumzia suala hilo akisema hiyo ni moja ya mafanikio ya ziara hiyo. Amesema kuwa bendera hiyo ambayo ilipandishwa kwenye jengo refu kuliko yote du

Viongozi wa dini wamwomba Rais Samia kumaliza kesi ya Mbowe

Viongozi wa dini wamwomba Rais Samia kumaliza kesi ya Mbowe WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus kwa vyyombo vya habari leo Jumatano imesema viongozi hao walikutana na Rais Samia Ikulu ya Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili masuala ya maendeleo ya nchi. “Viongozi wa dini wametumia mkutano wao na Mhe. Rais Samia kuomba mamlaka husika kutumia busara ili kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili
Viongozi wa dini wamwomba Rais Samia kumaliza kesi ya Mbowe WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus kwa vyyombo vya habari leo Jumatano imesema viongozi hao walikutana na Rais Samia Ikulu ya Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili masuala ya maendeleo ya nchi. “Viongozi wa dini wametumia mkutano wao na Mhe. Rais Samia kuomba mamlaka husika kutumia busara ili kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili