17 wameuawa katika mashambulizi ya makombora ya Urusi katika mji wa Ukraine
kusini-mashariki wa Zaporizhzhia, wizara ya ulinzi ya Ukraine imesema. Makumi
wengine walijeruhiwa, na majengo kadhaa ya makazi yameharibiwa. Mji huo uko
chini ya udhibiti wa Ukraine, lakini ni sehemu ya eneo ambalo Urusi ilidai
kulitwaa mwezi uliopita. Zaporizhzhia imekuwa ikishambuliwa mara kwa mara
katika wiki za hivi karibuni, huku Urusi ikishambulia miji kadhaa baada ya
kushindwa kudhibiti eneo la kusini na kaskazini-mashariki mwa Ukraine. Sehemu
za eneo la Zaporizhzhia, kua kinu kikubwa cha nguvu za nyuklia - ambacho kiko
karibu maili 30 (kilomita 52) kutoka mjini - na limekuwa chini ya udhibiti wa
Urusi tangu mapema katika uvamizi huo. Gavana wa eneo la hilo, Oleksandr
Starukh, alisema makombora 12 ya Urusi yaliharibu sehemu kubwa ya jengo la
gorofa tisa, na kusambaratisha majengo mengine matano ya makazi.
A; Haraka, Pupa ya Maisha Wenye jina linaloanza na herufi ”A” ni Watu wanaopenda mambo makubwa, Wanajiamini, na wenye uwezo wa kutimiza malengo yao, Ni watu wenye tahadhari Katika kila jambo, Wachangamfu na wanaopenda Matukio. Wanapenda kuheshimiwa, Wanapenda mamlaka, Wana kiburi na ni Watu wenye hasira. B ; Inawakilisha Kazi, Pesa, Mapenzi, Ujenzi. Wenye jina linaloanza na herufi “B” ni Watu Wakarimu , Waaminifu na Wenye kupenda kazi. Ni watu Jasiri, Shujaa na Wakatili katika vita au pale wanapotaka kulinda vyake au vilivyo katika himaya au Mamlaka yao. C; Inawakilisha Vurugu, Ndugu, Kuchanganyikiwa. Wenye jina linaloanza na herufi “C” ni Watu wa kubadilika badilika, Washindani, na hupenda kupigania Malengo yao wanayoyapenda. Ni watu Wabunifu, na wanaopenda Mawasiliano. D; Inawakilisha Upole, Kuchelewa, Wazee, Cheo. Wenye jina linaloanza na herufi “D” ni Watu wanaopenda Usawa, na Kufanya Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na wenye kupenda Usafi. Ni jeuri na wenye Msimamo. E; Inawa
Maoni
Chapisha Maoni