Waziri Makamba anateswa zaidi na siasa za nchi kuliko Tanesco SATURDAY FEBRUARY 26 2022 Waziri wa Nishati, January Makamba akizungumza bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya shughuli ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini toka Januari 2021 hadi Februari 2022. Picha na Edwin Mjwahuzi Summary Kati ya mwaka 1992 mpaka 2019, siasa za upinzani Zanzibar zilijengwa kuzunguka chama kimoja, Civic United Front (CUF). Kutoka mwaka 2019 hadi sasa, kinara wa upinzani visiwani ni Alliance for Change and Transparency-Wazalendo (ACT-Wazalendo). ADVERTISEMENT Post-truth politics ni msamiati wa kisiasa wenye maana ya siasa zinazoongozwa kwa utamaduni wa kusema uongo mwingi na ukweli kidogo. Zama ambazo uongo hutawala zaidi kisiasa huitwa “post-truth era”. Ni muundo wa siasa ambao uongo hutumika zaidi kuuhadaa umma. Utamaduni wa kuogopa ndio umekuwa ukitawala siasa za Afrika na maeneo mengi duniani. Ukweli ni mdogo kwenye majukwaa ya siasa. Februari 15, mwaka huu, Waziri wa Nish