Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2022

Waziri Makamba anateswa zaidi na siasa za nchi kuliko Tanesco

Waziri Makamba anateswa zaidi na siasa za nchi kuliko Tanesco SATURDAY FEBRUARY 26 2022           Waziri wa Nishati, January Makamba akizungumza bungeni jijini Dodoma alipokuwa akichangia taarifa ya shughuli ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini toka Januari 2021 hadi Februari 2022. Picha na Edwin Mjwahuzi Summary Kati ya mwaka 1992 mpaka 2019, siasa za upinzani Zanzibar zilijengwa kuzunguka chama kimoja, Civic United Front (CUF). Kutoka mwaka 2019 hadi sasa, kinara wa upinzani visiwani ni Alliance for Change and Transparency-Wazalendo (ACT-Wazalendo). ADVERTISEMENT Post-truth politics ni msamiati wa kisiasa wenye maana ya siasa zinazoongozwa kwa utamaduni wa kusema uongo mwingi na ukweli kidogo. Zama ambazo uongo hutawala zaidi kisiasa huitwa “post-truth era”. Ni muundo wa siasa ambao uongo hutumika zaidi kuuhadaa umma. Utamaduni wa kuogopa ndio umekuwa ukitawala siasa za Afrika na maeneo mengi duniani. Ukweli ni mdogo kwenye majukwaa ya siasa. Februari 15, mwaka huu, Waziri wa Nish
Askofu Ruwa'ichi awataka wakatoliki kuiombea Ukraine WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mhashimu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, amewataka wakristo wakatoliki nchini wanapoingia katika kipindi cha kwaresma kuungana kwa pamoja kuiomba nchi ya Ukraine ambayo kwa sasa ipo katika misukosuko ya vita na Russia. Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mhashimu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, amewataka wakristo wakatoliki nchini wanapoingia katika kipindi cha kwaresma kuungana kwa pamoja kuiomba nchi ya Ukraine ambayo kwa sasa ipo katika misukosuko ya vita na Russia. Askofu Ruwa'ichi ameyasema hayo leo Machi 2, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa mahubiri  yake aliyoitoa kwenye adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatano ya majivu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Posta. Ruwa'ichi amesema wanapaswa kuungana na Ukraine kama ambavyo wamekuwa wakiomba msaada kwa mataifa mbalimbali ili kukomesha vita hiyo. &quo

Majeshi ya Russia yamuua mwanachuo wa India akiwa dukani

Majeshi ya Russia yamuua mwanachuo wa India akiwa dukani WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Raia wa India, Naveen Shekharappa Gyanagoudar, aliyeuawa wakati jiji la Kharkiv likishambuliwa jana (Jumanne), alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Afya cha Kharkiv, Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Harsh Shringla amesema jana katika kikao na waandishi. ADVERTISEMENT Raia wa India, Naveen Shekharappa Gyanagoudar, aliyeuawa wakati jiji la Kharkiv likishambuliwa jana (Jumanne), alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Afya cha Kharkiv, Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Harsh Shringla amesema jana katika kikao na waandishi. “Alikuwa ametoka nje kununua mahitaji na kubadili fedha wakati alipouawa,” binamu yake Kantesh Gyanagoudar amesema akizungumza na CNN leo (Jumatano). Amesema Naveen alikuwa amepanga kuondoka kwenda Poland mapema zaidi ya siku hiyo. Shringla amesema Naveen alikuwa akisubiri kununua mahitaji katika duka wakati alipopigwa na bomu. Naveen alikuwa

Dk Mwigulu aelezea ugumu ziara za Rais Samia Ulaya

Dk Mwigulu aelezea ugumu ziara za Rais Samia Ulaya WEDNESDAY MARCH 02 2022           Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba Summary Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameelezea ugumu wa ratiba ya ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya katika nchi za Ufaransa, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) akisema hakukuwa na ratiba ya chakula cha mchana ‘lunch’. Dar es Salaam. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameelezea ugumu wa ratiba ya ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoifanya katika nchi za Ufaransa, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) akisema hakukuwa na ratiba ya chakula cha mchana ‘lunch’. Dk Mwigulu ametoa kauli hiyo leo Jumatano Machi 2, 2022 wakati akizungumzia mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyoifanya katika nchi hizo siku chache zilizopita. “Mimi nilivyoambatana na Rais nimeona kwamba anavyokuwa kwenye ziara hizo anakuwa na ratiba ngumu na anazitekeleza kwa ajili ya manufaa ya Watanzania, “Ni ziara ngumu, nimeambatana naye

Sababu picha ya Rais, bendera kupandishwa Dubai hii hapa

Sababu picha ya Rais, bendera kupandishwa Dubai hii hapa WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa bendera ya Tanzania kupandishwa kwenye jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa jijini Dubai ni zawadi kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Taifa. Dar es Salaam. Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa bendera ya Tanzania kupandishwa kwenye jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa jijini Dubai ni zawadi kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Taifa. Juzi, ilisambaa video kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha bendera ya Tanzania ikiwa imefunika jengo hilo refu duniani lililopo Dubai. Leo Jumatano Machi 2, 2022 Dk Kijaji wakati akizungumzia mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyoifanya katika nchi za Ufaransa, Ubelgiji na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amezungumzia suala hilo akisema hiyo ni moja ya mafanikio ya ziara hiyo. Amesema kuwa bendera hiyo ambayo ilipandishwa kwenye jengo refu kuliko yote du

Viongozi wa dini wamwomba Rais Samia kumaliza kesi ya Mbowe

Viongozi wa dini wamwomba Rais Samia kumaliza kesi ya Mbowe WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus kwa vyyombo vya habari leo Jumatano imesema viongozi hao walikutana na Rais Samia Ikulu ya Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili masuala ya maendeleo ya nchi. “Viongozi wa dini wametumia mkutano wao na Mhe. Rais Samia kuomba mamlaka husika kutumia busara ili kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili
Viongozi wa dini wamwomba Rais Samia kumaliza kesi ya Mbowe WEDNESDAY MARCH 02 2022           Summary Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Dar es Salaam. Wakati Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu wakianza kujitetea Ijumaa Machi 4, 2022 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, viongozi wa dini wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kutumia busara kumaliza kesi hiyo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Zuhura Yunus kwa vyyombo vya habari leo Jumatano imesema viongozi hao walikutana na Rais Samia Ikulu ya Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili masuala ya maendeleo ya nchi. “Viongozi wa dini wametumia mkutano wao na Mhe. Rais Samia kuomba mamlaka husika kutumia busara ili kuangalia namna ya kumaliza kesi inayomkabili

Mabadiliko ya tabiachi yaanza kubadilisha maisha ya jamii ya Maasai, Loliondo, Tanzania

Mabadiliko ya tabiachi yaanza kubadilisha maisha ya jamii ya Maasai, Loliondo, Tanzania Mathias Tooko Kutokana na mabadiliko ya tabianchi, jamii ya wafugaji, Maasai wa Loliondo kaskazini mwa Tanzania wamelazimika kuhamia katika kilimo. 28 Januari 2022 Tabianchi na mazingira Watu jamii ya Maasai huko Loliondo, wilaya ya Ngorongo, Tanzania ambao kwa miaka yote ya uwepo wao shuguli yao ya kujipatia kipato na chakula ni kupitia mifugo hususani ng’ombe, na chakula chao ni nyama na maziwa, sasa wameanza kulazimika kuanza kuhamia katika shughuli za kilimo baada ya shughuli yao hiyo ya  asili ufugaji kuathiriwa na mabadiliko ya tabianchi.  Mwishoni mwa mwaka jana 2021, mwezi Novemba, wakuu wa nchi, viongozi wa Umoja wa Mataifa, mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali pamoja na wadau wa mazingira kutoka kila pembe ya dunia walikusanyika mjini Glasgow Scotland kujadili namna ya kuiokoa dunia na mabadiliko ya tabianchi.  Kupitia mkutano huo,  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  alifikia kias